As a Civil Engineer/Technician Swala la Estimation & Costing Ni Kitu Muhimu Mno Kati ya Vitu Vikubwa Vitatu Ambavyo Unatakiwa Kuvielewa na Kuvifahamu..
.Uwezo wa Kufanya Estimation & Costing Ni DIRA Mojawapo ya Kujua Mafanikio ya Kazi Yako !
.
Kujua Kufanya Estimation & Costing Kunakuonyesha Kama Mradi Ni wa Hasara au Laah!
.
Kama Kazi Ni ya Kubutua Dodo Chini ya Mnazi au Vipi!..😀
.
Hii Ni Muhimu Sana Kwenye Level Ya PROJECT & SITE MANAGEMENT..
.
Ila Kwenye Ngazi ya Chini Huku Wewe Kama Civil Engineer/Technician Binafsi Kuna Kazi Zaidi ya Nne Unazoweza Kuofa Kama Service Nje Na Site Ukiwa Na Ujuzi wa Costing & Estimation..?
.
Unazijua Ni Zipi..
.
Bofya Link Hii Kufahamu Zaidi..
.
.
.
